Ni siku ya kuchangia Damu duniani ambayo kila mwaka JAI uungana na watu wote ulimwengu ni katika kuakikisha wanashiriki na kuchangia huduma ya damu katika beniki za damu salama . JAI IMEKUA MSTARI WA MBELE KILA MWAKA KATIKA KUHAKIKISHA WANA CHANGUSHA DAMU SI TU KUENZI SIKU HIYO BALI PIA NI KATIKA KUONGEZA IDADI YA DAMU KATIKA AKOUNTI ZA DAMU YA TAIFA